Mwenyekiti wa Kamati ya NUU, Mhe. Vita R. Kawawa akichangia hoja baada ya kuwasilishwa mada kuhusu utekelezaji wa miradi ya kikanda ya miundombinu ya EAC |
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya NUU, Mhe. Vicent Mbogo akichangia hoja baada ya kuwasilishwa mada kuhusu utekelezaji wa miradi ya kikanda ya miundombinu ya EAC |
Mjumbe wa Kmati ya NUU, Mhe. Janeth Masaburi akichangia jambo kuhsu utekelezaji wa miradi ya kikanda ya miundombinu ya EAC |
Waheshimiwa Wajumbe wa Kamati ya NUU na wajumbe wengine wakisikiliza mada kuhusu utekelezaji wa miradi ya kikanda ya miundombinu ya EAC |
Katibu Tawala wa Wilaya ya Lungido, Bw. Kamana Juma Simba akitambulisha ujumbe wa Wilaya yake ulioshiriki katika ziara ya wajumbe wa Kamati ya NUU katika Kituo cha Pamoja cha Mpakani cha Namanga |
Meneja wa Mamlaka ya Mapato wa Mkoa wa Arusha, Bw. Paul Kamukulu akisoma taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Kituo cha Pamoja cha Mpakani cha Namanga kwa wajumbe wa Kamati ya NUU |
Wajumbe wa Kamati ya NUU wakisikiliza majumuisho ya ziara yao kutoka kwa Afisa kutoka Idara ya Miundombinu ya Uchumi na Huduma za Jamii, Bw. Imail Abdalla |
Mjumbe wa Kamati ya NUU, Bw. Cosato Chumi akijumuika na wajasiriamali wanaofanya biashara maeneo ya kuzunguka Kituo cha Pamoja cha Mpakani cha Namanga |
Picha ya pamoja |