![]() |
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Mhe. Alexander Pastory Mnyeti akichangia jambo katika kikao hicho |
![]() |
| Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Mhe. Cosato Chumi akichangia jambo katika kikao hicho |
![]() |
| Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Mhe. Ali Hassan Omar King akichangia jambo katika kikao hicho |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akinukuu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) |
walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati hiyo.
![]() |
| Baadhi ya Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya NUU. |
![]() |
| Sehemu ya Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya NUU. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya NUU.
|


















