Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100 kati ya kampuni za Vodacom na Mwananchi communications kwa ajili ya kusaidia kuwaunganisha wakulima nchini na mpango wa Farm Clinic ili kupata taarifa za kilimo kidijitali na kusaidia wakulima kufanya malipo kwa kutumia M-Pesa.
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100 kati ya kampuni za Vodacom na Mwananchi communications kwa ajili ya kusaidia kuwaunganisha wakulima nchini na mpango wa Farm Clinic ili kupata taarifa za kilimo kidijitali na kusaidia wakulima kufanya malipo kwa kutumia M-Pesa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi, Bakari Machumu akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100 kati ya kampuni za Vodacom na Mwananchi communications kwa ajili ya kusaidia kuwaunganisha wakulima nchini na mpango wa Farm Clinic ili kupata taarifa za kilimo kidijitali na kusaidia wakulima kufanya malipo kwa kutumia M-Pesa.