Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara,  Devotha Namahala (kulia) akitoa ufafanuzi wa matumizi ya kifaa tiba  ‘baby warmer’ na mashine ya oxygen kwa Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald alipotembelea  hospitali ya Mkomaindo ili kujionea utendaji kazi wa  vifaa vilivyotolewa na taasisi hiyo kwa ajii ya kusaidia matibabu ya watoto njiti hospitalini hapo