Home Biashara VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA UGONJWA...

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YADHAMINI MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA UGONJWA WA FISTULA JIJINI MWANZA.

0

Mkuu wa mauzo wa Vodacom  Tanzania PLC kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi msaidizi wa tiba asili na tiba mbadala kutoka wizara ya Afya, Dkt. Paulo Mhame, wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza ugonjwa wa Fistula nchini, ambapo sambamba kulizinduliwa muongozo wa kitaifa kuhusu Fistula, Vodacom Tanzania Foundation walidhamini uzinduzi huo, kulia ni mkurugenzi wa hospitali ya Bugando, Fabian Masaga maadhimisho hayo yamefanyika jijini Mwanza.

Mkuu wa mauzo wa Vodacom  Tanzania PLC kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza ugonjwa wa Fistula nchini, ambapo sambamba kulizinduliwa muongozo wa kitaifa kuhusu Fistula, Vodacom Tanzania Foundation walidhamini uzinduzi huo.