Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko bungeni jijini Dodoma, Mei 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira , Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Mei 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)