Home Siasa SHAKA ANYWA KAHAWA NA WANANCHI

SHAKA ANYWA KAHAWA NA WANANCHI

0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, akinywa kahawa na kuzungumza na wananchi katika kijiwe cha kahawa cha Stendi ya zamani mjini Babati, wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo, juzi. Kushoto kwake Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro Twange. (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).

 
Shaka akisalimiana na wananchi alipofika eneo la stendi ya zamani mjini Babati akiwa katika ziara hiyo.