Wanafunzi kutoka Chuo Cha Antwerpen wakitoa Mafunzo ya Vitendo ya Virtual Reality (VR) kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Mafunzo hayo yamefanyika katika Taasisi hiyo.
Balozi wa Tanzania nchini China, Dkt. Suleiman Haji Suleiman, ameendelea na ziara yake inayolenga kukutana na wakuu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini China ikiwemo…