Home Siasa KATIBU MKUU CHONGOLO AKIWA KATIIKA ZIARA YAKE MKOA WA KUSINI PEMBA

KATIBU MKUU CHONGOLO AKIWA KATIIKA ZIARA YAKE MKOA WA KUSINI PEMBA

0

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara katika ukumbi wa Umoja ni Nguvu, Wilaya ya Mkoani mkoa wa Kusini Pemba ikiwa sehemu ya ziara ya Ukuaguzi, Usimamiaji, Uhamasishaji na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa CCM katika ngazi za mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiagana na viongozi mbali mbali mara baada ya kumaliza ziara yake ya mkoa wa Kusini Pemba ikiwa sehemu ya ziara ya Ukuaguzi, Usimamiaji, Uhamasishaji na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa CCM katika ngazi za mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) Dkt. Abdalla Juma Sadala wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara katika ukumbi wa Umoja ni Nguvu, Wilaya ya Mkoani mkoa wa Kusini Pemba ikiwa sehemu ya ziara ya Ukuaguzi, Usimamiaji, Uhamasishaji na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa CCM katika ngazi za mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)