Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo leo tarehe 21 Januari 2022 amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang , kwa njia ya mtandao. Mazungumzo hayo yalihusu uhusiano wa kihistoria baina ya vyama hivyo. (Picha na CCM Makao Makuu)
CHONGOLO NA NAIBU WAZIRI WA NJE CPC WAZUNGUMZA
By Alex Sonna
January 21, 2022 | 11:02 am

Related Stories
View all
Siasa
9 hours ago
RAIS MSTAAFU KIKWETE AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,…
Siasa
1 day ago
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MARAIS WA MISRI NA SENEGAL
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel…

