Home Mchanganyiko GEREZA KIHONDA LAUNGA MKONO JUHUDI ZA UJENZI WA NYUMBA YA ASKARI GEREZA...

GEREZA KIHONDA LAUNGA MKONO JUHUDI ZA UJENZI WA NYUMBA YA ASKARI GEREZA LA WANAWAKE KINGOLWIRA KWA KUWAPATIA MIFUKO 10 YA SARUJI

0

Mkuu wa Gereza Kihonda, SP. Lucas Mboje(kushoto) leo Januari 14, 2022 akikabidhi msaada wa mifuko ya saruji 10 kwa Mkuu wa Gereza la Wanawake Kingolwira, SP. Hanipher Kiangi kwa ajili ujenzi unaoendelea wa nyumba ya askari katika Gereza la Wanawake Kingolwira, mkoani Morogoro ikiwa ni hatua ya kuunga mkono juhudi za uongozi wa Gereza hilo katika kuboresha makazi ya askari.

Mkuu wa Gereza Kihonda, SP. Lucas Mboje(kushoto) leo Januari 14, 2022 akiwa na Mkuu wa Gereza la Wanawake Kingolwira, SP. Hanipher Kiangi kabla ya kukabidhi mifuko ya saruji 10 kwa ajili ujenzi unaoendelea wa nyumba ya askari katika Gereza la Wanawake Kingolwira, mkoani Morogoro ikiwa ni hatua ya kuunga mkono juhudi za uongozi wa Gereza hilo katika kuboresha makazi ya askari.

Ujenzi wa nyumba ya askari Gereza la Wanawake Kingolwira lililopo mkoani Morogoro ikiwa katika hatua za awali za ujenzi kama inavyoonekana pichani.