Home TV VIDEO MPYA : AGGY BABY Ft STOMPION – KAMNYWESO

VIDEO MPYA : AGGY BABY Ft STOMPION – KAMNYWESO

0
Aggy Baby
Malkia kwenye muziki wa Bongo fleva Agness Suleiman maarufu Aggy Baby anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya wa Kamnyweso aliomshirikisha msanii Stompion.
.
Tazama video hapa chini, usisahau ku Share ,comment , like & Subscribe