Home Mchanganyiko RAIS MHE.DKT. MWINYI AWATEMBELEA MZEE SUKWA SAID SUKWA NA MJANE WA ALIYEKUWA...

RAIS MHE.DKT. MWINYI AWATEMBELEA MZEE SUKWA SAID SUKWA NA MJANE WA ALIYEKUWA MBUNGE WA MPENDAE MAREHEMU SALIM TURKY

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mjane wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Marehemu Salim Turky Bi.Tamima Swaleh alipofia nyumani kwake Mpendae kwa mazungumzo na kumjulia hali leo 14-1-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mjane wa Marehemu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Salim Turky Bi.Tamima Swaleh, alipofika nyumbani kwake Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja leo.14-1-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Sukwa Said Sukwa Mwanasiasa Mkongwe wa Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Maungani kwa mazungumzo na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Mzee Sukwa Said Sukwa, alipofika nyumbani kwake Maungani Wilaya ya Magharibi B Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)