Home Siasa CHONGOLO AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WALIMU WAKUU WA SHULE ZA JUMUIYA YA...

CHONGOLO AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WALIMU WAKUU WA SHULE ZA JUMUIYA YA WAZAZI

0

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa  Kikao Kazi cha Walimu Wakuu na Wahasibu wa Shule za Sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma. (Picha na Adam Mzee)

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi (Zanzibar) Ndugu Othman A. Maulid akitoa salaam za shukrani mara baada ya ufunguzi wa  Kikao Kazi cha Walimu Wakuu na Wahasibu wa Shule za Sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma. (Picha na Adam Mzee)

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Gilbert Kalima akizungumza wakati wa  Kikao Kazi cha Walimu Wakuu na Wahasibu wa Shule za Sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma. (Picha na Adam Mzee)