2021
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Helium Yaibuka Kikao cha Bodi ya Barabara Rukwa na kuibua gumzo.
Apolinary Macheta Makam Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Suumbawanga akisikiliza kwa makini mada mbalimbali zinazoendelea katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa…
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUTUBIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGONJWA ADIMU DUNIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoadhimishwa…
WAKALA WA VIPIMO WAJIPANGA KUWASAIDIA WAJASILIMALI WADOGO WIKI YA VIWANDA YA WANAWAKE.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika banda la Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) katika…
Wananchi Waomba Daraja la muda baada ya watu wanne kuzama mtoni
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo alipofika katika mto momba uliozamisha kinamama wawili na watoto wao wawili kufanya tathmini ya namna ya…
WAZIRI ULEGA TUNA MPANGO WA KUFUFUA MICHEZO YA JADI KUENDELEZA URITHI WA TAMADUNI ZETU.
Naibu waziri wa habari michezo utamaduni na sanaa Abdala Ulega akifunga tamasha na Arusha super cup, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Arusha…
WAZIRI SIMBACHAWENE AWASWEKA RUPANGO VIONGOZI WA VIJIJI KWA KUSHAWISHI VURUGU WAFUGAJI, WAKULIMA KITETO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Wananchi wa Kitongoji cha Miriongima, Kijiji cha Kijungu, Wilaya ya Kiteto, Mkoani…
Coca-Cola Kwanza waunga mkono juhudi za serikali kuendeleza elimu maeneo ya vijijini kwa kutoa msaada wa madawati yenye thamani ya milioni 10.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa amekalia moja ya madawati yaliyotolewa na kampuni ya Coca-Cola Kwanza kwa wilayani Ruangwa mkoani Lindi. Kampuni ya Coca-Cola ilitoa…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMEZINDUA APP YA SEMA NA RAIS MWINYI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisistiza jambo wakati akizundua APP ya Sema na Rais Mwinyi (SNR…
NAIBU WAZIRI AKITUMIA BAISKELI KUWAFIKIA WANANCHI WA MAENEO YA NDANI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo akiwasili katika Kijiji cha Bambi kilichopo…