Home Mchanganyiko NAIBU WAZIRI AKITUMIA BAISKELI KUWAFIKIA WANANCHI WA MAENEO YA NDANI

NAIBU WAZIRI AKITUMIA BAISKELI KUWAFIKIA WANANCHI WA MAENEO YA NDANI

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo  akiwasili katika Kijiji cha Bambi kilichopo katika Shehia ya Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja leo kwa ziara ya kikazi ikiwemo kusikiliza kero za wananchi akitumia usafiri wa baiskeli ili kuweza kuwafikia wananchi waliopo maeneo ya ndaniPicha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi