Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari juu ya mafanikio ya Tanzania kuelekea kilele cha sherehe za miaka 60 tangu kupata uhuru katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba.
Na John Mapepele- Dodoma Serikali imeeleza dhamira yake ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha huduma za afya za kibingwa katika Afrika Mashariki na Kati…
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Mhe. Jestas Abuok Nyamanga, kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud…