Home Mchanganyiko KATIKA KUELEKEA MIAKA 60 YA UHURU WAFANYAKAZI WA TBC TAIFA WATOA ZAWADI...

KATIKA KUELEKEA MIAKA 60 YA UHURU WAFANYAKAZI WA TBC TAIFA WATOA ZAWADI KWA WATOTO WENYE MAGONJWA YA MOYO

0

 Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Taifa upande wa redio ya taifa (TBC taifa) wakimkabidhi msimamizi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo ambaye pia ni Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tedy Tarimo zawadi kwa ajili ya watoto baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mirindimo ya Asubuhi kilichokuwa kinarushwa mubashara kupitia redio hiyo leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam

Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa upande wa redio ya taifa (TBC taifa) Johari Mayoka akimkabidhi zawadi mbalimbali mama ambaye mtoto wake amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu ya moyo Janeth Lema baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mirindimo ya Asubuhi kilichokuwa kinarushwa mubashara kupitia redio hiyo leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam

Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa upande wa redio ya taifa (TBC taifa) Mbazigwa Hassan akimkabidhi zawadi mbalimbali mama ambaye mtoto wake amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu ya moyo Monica Kobe baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mirindimo ya Asubuhi kilichokuwa kinarushwa mubashara kupitia redio hiyo leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam

Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa upande wa redio ya taifa (TBC taifa) Bety Tesha akimkabidhi zawadi mbalimbali mama ambaye mtoto wake amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu ya moyo Siwa Selemani baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mirindimo ya Asubuhi kilichokuwa kinarushwa mubashara kupitia redio hiyo leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam

Fundi mitambo wa Shirika la Utangazaji la Taifa upande wa redio ya taifa (TBC taifa) Nicholaus Mwanyilu akimkabidhi zawadi mbalimbali mama ambaye mtoto wake amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu ya moyo Aziza Kondo baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mirindimo ya Asubuhi kilichokuwa kinarushwa mubashara kupitia redio hiyo leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam