Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akifungua kiwanda cha kuongeza thamani zao la mpunga  na mazao mbalimbali cha Raphael Group kilichopo Uyole Jijini Mbeya, Novemba 30, 2021.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homela na wa tatu kulia ni Naibu Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu mazao yaliyohifadhiwa kwenye   maghala  ya Makampuni ya Raphael Group kutoka kwa Mkurugenzi, Raphael Ndelwa (kushoto)  baada ya ufungua kiwanda  cha kuongeza thamani zao la mpunga  na mazao mbalimbali,  eneo la Uyole jijini Mbeya, Novemba 30, 2021. Katikati ni Naibu Spika na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya mwananchi wa Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua kiwanda  cha kuongeza thamani zao la mpunga  na mazao mbalimbali cha Raphael Group cha  Uyole Jijini Mbeya, Novemba 30, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkurugenzi wa Mkampuni ya Raphael Group, Raphael Ndelwa ( wa pili kulia) baada ya  kufungua kiwanda  cha kuongeza thamani zao la mpunga  na mazao mbalimbali mali ya makampuni hayo eneo la Uyole jijini Mbeya, Novemba 30, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kiloba chenye  mchele   wa kiwango cha daraja la kwanza wakati alipofungua kiwanda  cha kuongeza thamani zao la mpunga  na mazao mbalimbali  cha Makampuni ya Raphael Group eneo la Uyole jijini Mbeya, Novemba 30, 2021.  Kulia kwa Waziri Mkuu  ni  Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, kulia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homela na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho, Raphael  Ndelwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Raphael Ndelwa  (kulia) ambye ni  Mkurugenzi wa Makampuni  ya Raphael Group kuhusu mafuta ya kula yaliyotokana na alizeti  yaliyokamuliwa na kufungashwa na makampuni hayo yenye makao  makuu Uyole  jijini Mbeya, Novemba 30, 2021. Waziri Mkuu alifungua   kiwanda  cha kuongeza thamani zao la mpunga  na mazao  mbalimbali  cha makampuni hayo. Kushoto ni Naibu Spika na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)