Home Mchanganyiko MAFUNZO KUHUSIANA NA MRADI WA KUWASAIDIA WAFANYA BIASHARA WAZAWA KUKUZA BIASHARA ZAO...

MAFUNZO KUHUSIANA NA MRADI WA KUWASAIDIA WAFANYA BIASHARA WAZAWA KUKUZA BIASHARA ZAO NDANI NA NJE YA NCHI WAFANYIKA ZANZIBAR

0

Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Africa Franchising Accelerator  Wambugu Wagichohi akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika  mafunzo kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.

Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Africa Franchising Accelerator  Wambugu Wagichohi kulia akitoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.

Muandishi wa Habari wa ITV Farouk Kariym akiuliza maswali katika hafla ya mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.