Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Nd,Amour Hamil Bakari na Mkurugenzi Bishara wa Kampuni ya EGIS Bw.Cristian Laugier hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Baadhi ya Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Kaimu Jaji Mkuu wa Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said,Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na ,Uchukuzi Mhe.Rahma Kassim Ali ni Miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Nd,Amour Hamil Bakari na Mkurugenzi Bishara wa Kampuni ya EGIS Bw.Cristian Laugier hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Mabalozi wadogo wanaoziwakilisha Nchi zao hapa Zanzibar wakiwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa Mashirikiano ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu