Home Siasa MATUKIO KATIKA PICHA KATIBU MKUU CCM AKIWA KWENYE ZIARA YAKE IGUNGA

MATUKIO KATIKA PICHA KATIBU MKUU CCM AKIWA KWENYE ZIARA YAKE IGUNGA

0

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwa juu ya tenki la maji lenye uwezo wa kuhudumia watu 66,186 wa Igunga. (Picha na CCM Makao Makuu)

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora wakati wa kikao cha shina namba 7lililopo Mbutu, Igunga mkoa wa Tabora. (Picha na CCM Makao Makuu)

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa shina namba 20 lililopo kata ya Igunga , Igunga mkoa wa Tabora. (Picha na CCM Makao Makuu)

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Igunga Nicholaus Ngassa (mwenye kofia) wakati wa ukaguzi wa mradi wa maji Igunga unao wahudumia watu 66,186 wa Igunga. (Picha na CCM Makao Makuu)