Home Michezo GSM YAIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA KWA BILIONI 2.1

GSM YAIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA KWA BILIONI 2.1

0

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani (Kulia) na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Group, Mhandisi Hersi Said (kushoto) wakionyesha mfano wa Hundi ya mkataba uliosainiwa leo wa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.1 kwa miaka miwili.

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani (Kulia) na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Group, Mhandisi Hersi Said (kushoto) wakionyesha Mkataba mara baada ya kusaini kuwa wadhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.1 kwa miaka miwili.