Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (katikati) na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Profesa Jamal Katundu wakati alipowasili kwenye viwanja wa Hazina jijini Dodoma kuongoza Kikao cha Pili cha Kamati ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19, Novemba 11, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Kikao cha Pili cha Kamati ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipoongoza kikao hicho kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 11, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao cha Pili cha Kamati ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 11, 2021. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Jamal Katundu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao cha Pili cha Kamati ya Kuratibu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 11, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)