Waziri wa Afya , Ustawi wa Jamii , Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui, (kulia) akifungua Pazia kuashiria Ufunguzi wa Hospitali ya Mehta’s,(kushoto) Dr. Ameesh G. Mehta, hafla iliyofanyika Paje Mkoa wa Kusini Unguja .

Waziri wa Afya , Ustawi wa Jamii , Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui, akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Hospitali ya Mehta’s, hafla iliyofanyika Paje Mkoa wa Kusini Unguja .

Baadhi ya Waalikwa waliyohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Mehta’s, huko Paje Mkoa wa Kusini Unguja .

Waziri wa Afya , Ustawi wa Jamii , Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui, (kulia) akitaka kufungua Pazia kuashiria Ufunguzi wa Hospitali ya Mehta’s,(kushoto) Dr. Ameesh G. Mehta, hafla iliyofanyika Paje Mkoa wa Kusini Unguja .

Mmiliki wa Hospitali ya Mehta’s iliyoko Paje Mkoa wa Kusini Unguja, Dr. Ameesh G. Mehta, akitoa maelezo kuhusu Hospitali hiyo, katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali .

Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar.