Home Michezo ARSENAL YAICHAPA 2-0 LEEDS UNITED NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI

ARSENAL YAICHAPA 2-0 LEEDS UNITED NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI

0

MABAO ya Calum Chambers dakika ya 55 na Eddie Nketiah dakika ya 69 yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya Leeds United usiku wa Jumanne Uwanja wa Emirates Jijini London na kutinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England.