Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi  waliopishwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tannzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo (pichani wa pili kulia) Mhe.Balozi Anisa Mbega Nchini India (katikati) MheInnocent Shiyo Nchini Afrika ya Kusini na (kushoto) Mhe.Togolani Mavura Nchini Korea Kusini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi  waliopishwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tannzania Nchi mbali mbali walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na   Mabalozi  waliopishwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tannzania Nchi katika mbali mbali walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,(kushoto) Mhe.Balozi Togolani Mavura Nchini Korea Kusini,Mhe.Anisa Mbega Nchini India na Mhe.Innocent Shiyo Nchini Afrika ya Kusini pia na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said (kulia).[Picha na Ikulu