Home Makala MAJALIWA AWASILI MKOA WA LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI

MAJALIWA AWASILI MKOA WA LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizingumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,  Amos Mkalla (kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Hassan Abbas Rugwa  (katikati) kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kabla ya kuondoka kwenda mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainabu Telack alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea kwa ziara ya kikazi mkoani humo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Lindi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea kwa ziara ya kikazi mkoani humo, Oktoba 24, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)