Mratibu wa Program ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, Boniface Kadili akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby Academy walipotembelea ofisi za program hiyo kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, Christopher Muhongole (kushoto) akiwafundisha wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby Academy walipotembelea ofisi za program hiyo kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika,Gertrude Ndalo akielezea picha zenye michoro ya historia ya ukombozi wa bara la Afrika kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby Academy walipotembelea ofisi za program hiyo kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby Academy wakifuatilia filamu fupi ya historia ya ukombozi wa bara la Afrika wakati walipotembelea ofisi za program hiyo kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika ikiwa ni sehemu ya kumkumbuka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, May Simba (kushoto) akielezea picha zenye historia ya ukombozi wa bara la Afrika kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby Academy walipotembelea ofisi za program hiyo kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika ikiwa ni sehemu ya kumkumbuka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby wakionesha karatasi zenye nukuu mbalimbali za Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere walipotembelea ofisi Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika ikiwa ni sehemu ya kumkumbuka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mtunza kumbukumbu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) akitoa maelezo ya meza aliyotumia Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kutolea hotuba zake wakati wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby Academy walipotembelea ofisi Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika ikiwa ni sehemu ya kumkumbuka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia akifafanua jambo kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby Academy wakati walipotembelea ofisi Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika ikiwa ni sehemu ya kumkumbuka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji Mwandamizi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Aloycia Maneno akifafanua jambo kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kabby Academy wakati walipotembelea ofisi Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kwa lengo la kujifunza historia ya ukombozi wa bara la Afrika ikiwa ni sehemu ya kumkumbuka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na WSUM – Dar es Salaam