Baadhi ya Wafanya biashara wa Bidhaa mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Usalama wa Chakula Dk,Khamis Omar akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.
Afisa Usajili wa Chakula ZFDA Fatma Taha Makame akiwasilisha mada kuhusiana na Taratibu za Uingizaji wa Bidhaa za Chakula katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.
Afisa Usajili wa Chakula ZFDA Warda Mwinyi Pembe akiwasilisha mada kuhusiana na Taratibu za Usajili wa Bidhaa za Watoto katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.
Mfanya Biashara wa kampuni ya Ndoto Jeneral Saplay LTD Asaa Khamis Bakari akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa Waingizaji wa Bidhaa za Watoto uliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Kidongo Chekundu Zanzibar.