Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa MSD Meja. Jenerali. Dkt. Gabriel Sauli Mhidze (kushoto), kwenye kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 10, 2021. (Picha. na Ofisi ya Waziri Mkuu)