Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Madiwani, watumishi na wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Liwale kwenye ukumbi wa Tengeneza, Liwale, Oktoba 7, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Madiwani, watumishi na wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Liwale wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Tengeneza, Liwale, Oktoba 7, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)