Home Siasa MSAJILI AIPONGEZA CCM KUJIENDESHA KITAASISI

MSAJILI AIPONGEZA CCM KUJIENDESHA KITAASISI

0

Katiubu Msaidizi Mkuu Oganizesheni ya Chama cha Mapinduzi, Ndg. Solomon Itunda akimkabidhi nyaraka za chama  Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza wakati wa zoezi la uhakiki wa namna chama hicho kinavyotekeleza sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi leo jijini Dodoma.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza wakatiu wa zoezi la Uhakiki katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma

Katibu wa Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Salum Reja akizungumza wakati wa zoezi la a na hakiki lililoendeshwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa katika Ofisi za Makao Makuu ya chama hicho jijini Dodoma 

Afisa Tehama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bi. Levina Myovela  akitoa maelezo mbele ye wajumbe kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) namna CCM inavyotumia mifumo ya Tehama katika uendeshaji wa shughuli zake jijini Dodoma

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Peter Lyimo (kushoto)  akiwa pamoja na Msaidizi wake Bw. Mussa Boma wakikagua kitabu cha hesabu za Chama cha Mapinduzi wakati wa zoezi la uhakiki wa namna vyama vya siasa vinavyotekeleza Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili katika Ofisi za Makao Makuu ya chama hichi jijini Dodoma 

Wajumbe kutoa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wakifuatilia zoezi la uhakiki walipotembela Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma

Baadhi ya watendaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu wakifuatilia zoezi la uhakiki wa namna vyama vya siasa vinavyotekeleza Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili walipotembela Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma

Watumishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wakiongozwa na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza (mwenye tai) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu jijini Dodoma leo. (Picha zote na: ORPP)