Home Mchanganyiko WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA MAASKOFU WA KANISA ANGLIKANA, JIJINI DODOMA

WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA MAASKOFU WA KANISA ANGLIKANA, JIJINI DODOMA

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Maaskofu pamoja na viongozi mbalimbali wa Kanisa la Anglikana nchini, wakati walipomtembelea Waziri huyo, ofisini kwake, Mtumba, Jijini Dodoma,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akimsikiliza Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes, alipokuwa akizungumza katika Kikao kilichofanyika ofisi ya Waziri huyo, Mtumba, Jijini Dodoma,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kushoto), akimsikiliza Mjumbe wa Sinodi ya Kanisa  Anglikana, Dkt. John Kalaghe (kulia), alipokuwa akizungumza katika Kikao na viongozi hao kilichofanyika ofisi ya Waziri huyo, Mtumba, Jijini Dodoma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kanisa la Anglikana Nchini baada ya Waziri huyo kuzungumza na viongozi hao ofisini kwake, jijini Dodoma, leo. Wapili kulia ni Askofu wa Kanisa hilo, Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes na watatu kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Kati Tanganyika/Dodoma, Dickson Chilongani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.