Home Michezo YANGA YAWATAMBULISHA RASMI KAZE, ZAHERA

YANGA YAWATAMBULISHA RASMI KAZE, ZAHERA

0

UONGOZI wa klabu ya Yanga umemrejesha Mrundi, Cedric Kaze kuwa Kocha Msaidizi ws klabu hiyo chini ya Mtunisia, Nasreddine Nabi.
Kazi alikuwa Kocha Mkuu wa Yanga msimu uliopita na akafukuzea kwa matokeo mabaya kabla ya ujio wa Nabi.

Aidha, Yanga pia imerejesha Mkongo, Mwinyi Zahera kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo Soka la Vijana baada ya awali kuwa Kocha Mkuu wa klabu mwaka juzi kabla ya kufukuzwa pia kwa matokeo yasiyoridhisha.