Home Michezo ARSENAL YANG’ARA UGENINI YAICHAPA 1-0 BURNLEY

ARSENAL YANG’ARA UGENINI YAICHAPA 1-0 BURNLEY

0

Martin Odegaard scored a superb free-kick to put Arsenal in the lead in the 30th minute of their game away to Burnley

Odegaard scored his first goal since joining Arsenal permanently from Real Madrid as he managed to break the deadlock

………………………………………………………

Timu ya Arsenal imezidi kuzinduka baada ya kupata ushindi wa pili Mfululizo wa Ligi Kuu ya Uingereza kwa kung’ara ugenini kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Burnley katika uwanja wa Turf Moor.

Kiungo Mshambuliaji Mnorway, Martin Odegaard aliifungia bao la ushindi Arsenal dakika ya 30.
Kwa ushindi huo Arsenal imefikisha Pointi 6 katika mechi tano , wakati Burnley inabaki na pointi moja baada ya mechi tano pia.