Home Siasa MATUKIO KATIKA PICHA NAIBU KATIBU MKUU CCM AKIWA MCHEMO NEWALA

MATUKIO KATIKA PICHA NAIBU KATIBU MKUU CCM AKIWA MCHEMO NEWALA

0

Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 3 tawi la Mchemo, Kata ya Mchemo, Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)

Mbunge wa Jimbo la Newala Vijijini ndugu Maimuna Salumu Mtanda  akihutubia wakazi wa shina namba 3 tawi la Mchemo, Kata ya Mchemo, Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)

Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na wataalamu mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)

Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akikagua moja ya darasa katika Shule ya Sekodari Mpotola ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. . (Picha na CCM Makao Makuu)