Home Mchanganyiko MAJALIWA ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KIJIJI CHA MAHEMBE WILAYANI KIGOMA

MAJALIWA ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KIJIJI CHA MAHEMBE WILAYANI KIGOMA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwsalimia wananchi wa kijiji cha Mahembe wilayani Kigoma wakati aliposimama alikiwa njiani kwenda kukagua shamba la michikichi la Gereza la Kwitanga, Septemba 17, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisikiliza swali kutoka kwa  Hussein Ali Makorokocho  (kushoto) wakati aliposikiliza  na kuzitolea maelekezo kero za wananchi katika kijiji cha Mahembe wilayani Kogoma.  Aliimama kijijini hapo akiwa njiani kwenda gereza la Kwitanga kukagua kilimo cha michikichi, Septemba 17, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)