KLABU ya Simba imeimarisha benchi lake la Ufundi kwa kumteua Mnyarwanda Thierry Hitimana (42), kuwa kocha Msaidizi wa klabu, akichukua nafasi ya Suleiman Matola ambaye yupo masomoni.
***********************
SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya dola za Kimarekani 10,000 (zaidi ya shilingi milioni 22.8) Klabu ya Simba ya jijini Dar...