Home Mchanganyiko SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ALGERIA NA...

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ALGERIA NA PAKISTAN JIJINI DODOMA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai  (kushoto) akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Adjellah alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Muhammad Saleem alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akipokea kitabu kutoka kwa Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Adjellah alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Muhammad Saleem alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Pakistan nchini Tanzania ulioongwa na Balozi wa Pakistan nchini, Mhe. Muhammad Saleem (wapili kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021, Kushoto ni Afisa Itifaki Mwandamizi Ofisi ya Bunge, Zainab Kihange

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Adjellah alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Muhammad Saleem alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)