RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar(ZSTC) Dkt.Said Seif Mzee akitowa maelezo,wakati wa ziara yake kutembelea Ghala la kuhifadhia Karafuu katika Bandari ya Wete Pemba, zikisubiri kusafirishwa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban.(Picha na Ikulu)
RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI ATEMBELEA GHALA LA KUHIFADHIA KARAFUU BANDARI YA WETE PEMBA
By Alex Sonna
September 1, 2021 | 9:27 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 hours ago
NMB YATWAA TUZO BAADA YA KUIKABIDHI SERIKALI GAWIO LA BILIONI 96.9
……….. BENKI ya NMB imetunukiwa tuzo ya mchangiaji bora wa gawio baada ya kuikabidhi Serikali Sh96.9 bilioni, ikiwa ni utambuzi wa mchango wake katika…
Mchanganyiko
2 hours ago
SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA UBIA KATI YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI.
Mchumi kutoka Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPU), Wizara ya Fedha, Bi. Anastazia Amandi, akitoa ufafanuzi kwa wananchi…

