Home Mchanganyiko MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA SIMU NA ANGELA MERKEL WA UJERUMANI

MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA SIMU NA ANGELA MERKEL WA UJERUMANI

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel Ikulu Jijini Dar es salaam leo Sept 01,2021. PICHA NA IKULU.