Mufti  wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,  akimkaribisha Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim  Al-sinawiy,  alipofika Ofisi ya Mufti  Mazizini Mjini Unguja  kujitambulisha .

Mufti  wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akimkaguza baadhi ya vitengo vilivyomo ndani ya Ofisi ya Mufti wakati alipofika kujitambulisha.

Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim  Al-sinawiy, akitoa neno kwa Mufti  wa Zanzibar  alipofika Ofisini kwake  kwaajili ya kujitambulisha.

Mufti  wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,  akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim  Al-sinawiy alipofika Ofisini kwake Mazizini Mjini Unguja  kujitambulisha.

Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim  Al-sinawiy akiagana na watendaji wa Ofisi ya Mufti mara baada ya kufika Ofisini hapo na Kujitambulisha 

PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.