Home Michezo MAN UNITED YAICHAPA 1-0 WOLVES

MAN UNITED YAICHAPA 1-0 WOLVES

0

Timu ya Manchester United wamepata ushindi ugenini dhidi ya wenyeji  Wolverhampton Wanderers baada ya kuwachapa bao 1-0 katika Uwanja wao wa nyumbani, Molineux mchezo wa Ligi Kuu ya England mjini Wolverhampton.

Man United walipata bao kupitia kwa Mshambuliaji wao kinda  Mason Greenwood dakika ya 80, Man United inafikisha pointi saba baada ya mechi tatu.