Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa Kituo cha Afya Usinge wilayani Kaliua, Agosti 28, 2021. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Matiku.
Baadhi ya majengo ya Kituo cha Afya cha Usinge wilayani Kaliua ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 28, 2021 alikagua maradi huo na kuagiza ujenzi wake ukamilike ifikapo mwenzi Oktoba mwaka huu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)