Home Mchanganyiko CCM MAFIA YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI-DC NTEMO

CCM MAFIA YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI-DC NTEMO

0
……………………………………………………………….
Na Mwamvua Mwinyi ,Mafia
Chama Cha Mapinduzi -CCM wilaya ya Mafia yapokea taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2021.
Akiwasilisha taarifa hiyo, mkuu wa wilaya ,Martin Ntemo ameelezea kwamba sehemu kubwa ya miradi imeweza kupatiwa fedha kama ilivyopangwa na thamani ya fedha hizo kuonekana.
Kamati hiyo ya Siasa imetembelea mradi wa ujenzi wa ghati kwa ajili ya meli kushusha magariĀ  na mizigo mikubwa.
Mradi wa maji, barabara na vikundi vya wajasiriamali.