Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA SLOVAKIA

RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA SLOVAKIA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa  Heshima Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw (katikati) wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo akiwepo na Mratibu wake  hapa Zanzibar  Mhe.Ibrahim Rara.[Picha na Ikulu] 25/08/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa  Heshima wa Tanzania katika Jamhuri  ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw  wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo.[Picha na Ikulu] 25/08/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimskiliza Mwakilishi wa  Heshima wa Tanzania katika Jamhuri  ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw  wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo.[Picha na Ikulu] 25/08/2021.