Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaotarajiwa kuanza hapo kesho tarehe 17 hadi 18 nchini Malawi. PICHA NA IKULU
RAIS SAMIA AWASILI NCHNI MALAWI KWA AJILI YA KUSHIRIKI MKUTANO WA SADC
By Alex Sonna
August 16, 2021 | 2:21 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
36 minutes ago
MHE. RIDHIWANI KIKWETE ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA TPSC KAMPASI YA TANGA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Chuo…
Mchanganyiko
1 hour ago
TANZANIA NA USWISI ZAJADILI MASUALA YA KIMATAIFA
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Elisha Suku, amefanya mazungumzo…



