Home Michezo CHELSEA YAICHAPA 3-0 CRYSTAL PALACE UWANJA WA STAMFORD BRIDGE

CHELSEA YAICHAPA 3-0 CRYSTAL PALACE UWANJA WA STAMFORD BRIDGE

0

TIMU ya Chelsea imeanza vyema Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Crystal Palace leo Uwanja wa Stamford Bridge, London.
Mabao ya The Blues yamefungwa na Marcos Alonso dakika ya 27, Christian Pulisic dakika ya 40 na Trevor Chalobah dakika ya 58.