Home Mchanganyiko KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NEMC

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NEMC

0

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bi. Mary Ngelela Maganga  akiongea na Menejimenti ya NEMC kwenye kikao kilichofanyika Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Makao Makuu Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenye kikao kilichofanyika Makao Makuu ya Baraza hilo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Menan Jangu, akieleza mambo mbalimbali yanayohusu NEMC na mazingira kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Bi. Mary Ngelela Maganga..

***************************

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bi. Mary Ngelela Maganga amefanya kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa na Usimamizi wa Mazingira NEMC.Kikao hicho kimefanyika kwenye Ofisi za Baraza Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu alijadili na Menejimenti mambo mbalimbali yanayohusu utendaji wa kazi kwa ujumla,

Majukumu  ya Baraza na utekelezaji wake.